Mh. Waziri wa Sheria na Katiba amesikika leo akitoa somo:
Hii ikiwa hata vumbi la kuangushiwa jumba bovu lingali halijatulia:
Kuna haja ya tafsiri za neno hili "uzalendo" kupitiwa vyema ila kuwa na tafsiri moja. Tulipo leo haieleweki. Kwa jina la uzalendo Polepole anananga anaowaita wahuni. Kwa jina la uzalendo Polepole na Kabudi wananangwa na wanaowaita wao wahuni. Kama migambo mwendo umekuwa ni kuruka kwa kukanyagana.
-----