Profesa Kabudi atoa Somo la Uzalendo

Profesa Kabudi atoa Somo la Uzalendo

Profesa Kabudi hajawahi kuwa mzalendo, na wala hatakuwa. Huyo ni muhuni aliyekuwa akijipendekeza kwa serikali muda wote. Kujipendekeza kwake kulivuka mipaka mpaka akawa zuzu mbele ya Magufuli.
ama amewaacha wenye akili na kukumbatia mahuni Wacha wampake mavi.
Viva Prof. Kabudi
 
Uzalendo ni kwenda kuchukua dawa fake za Uviko-19 kwa kutumia ndege yetu kwa gharama kubwa

"JPM aliharibu diplomasia yetu kwa kupitia Kabudi"Bulembo voice
Kwa wenzetu wenye kuheshimu utawala wa sheria leo hii Kabugi angekuwa hana nafasi kwenye ofisi za serikali.
 
Mungu siku zote huwaga analipa hapa hapa naona Bulembo ameanza kumnanga jiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo alisema 2020 jiwe apite bila kupingwa:

Hiiiiii bagosha!
 
Huyo alisema 2020 jiwe apite bila kupingwa:

Hiiiiii bagosha!
Ndiyo ujuwe kuwa wana ccm wengi wao wanapugania matumbo.

Huu ni mfano hai kabisa na hii clip itawafumbua macho wana ccm wengi pia watanzania kwa ujumla wao.

Hatuna wabunge wenye nia ya kuwatetea wananchi zaidi ya kuwa wapiga zumari
 
Kiingereza kiiingi, complicated English nonsense.

Tumbo limehamia kichwani.
 
Uzalendo ni kwenda kuchukua dawa fake za Uviko-19 kwa kutumia ndege yetu kwa gharama kubwa

"JPM aliharibu diplomasia yetu kwa kupitia Kabudi"Bulembo voice

unajua awamu ya makufuli mabalozi wapya wengi wamefungua ubalozi tanzania kuliko awamu zingine hata israel imefungua ubalozi awamu ya jpm
 
MIMI MZARENDO KWERI KWERI ....

WANANCHI KUWENI WAZARENDOOO......
😂😂😂
sasa kacheki life style ya maisha wanaoishi
Mali wanazozimiliki+mabizness

MWISHONI WANAKUAMBIA MM NAISHI KWA KUTEGEMEA MSHAHARA TU

ova
 
unajua awamu ya makufuli mabalozi wapya wengi wamefungua ubalozi tanzania kuliko awamu zingine hata israel imefungua ubalozi awamu ya jpm
Weka Balozi zote zilizofungua ubalozi awamu ya 5 halafu tuambie Tanzania kuna mabalozi wangapi tuone ukweli wa ukisemacho.
 
Back
Top Bottom