ACT wazalendo!
Uzalendo ni kwenda kuchukua dawa fake za Uviko-19 kwa kutumia ndege yetu kwa gharama kubwa
"JPM aliharibu diplomasia yetu kwa kupitia Kabudi"Bulembo voice
Huyu hamna kitu abaki kukodoa mimacho tu. Uzalendo au unafiki?
Mkuu kongole Sana hawa viongozi wetu Kuna muda huwa wanadhani wanaongoza ng'ombe kwenda marishoni
Mimi huyu mzee nilimdharau toka akane kuhusu upatikanaji wa katiba mpya ilihali alikuwa mjumbe wa Tume ya katiba.Najua ana bei yake na hana uzalendo wowote.
Mungu siku zote huwaga analipa hapa hapa naona Bulembo ameanza kumnanga jiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh. waziri wa sheria na katiba amesikika leo akitoa somo:
View attachment 2042816
Hii ikiwa hata vumbi la kuangushiwa jumba bovu lingali halijatulia:
View attachment 2042817
Kuna haja ya tafsiri za neno hili "uzalendo" kupitiwa vyema ila kuwa na tafsiri moja.
Tulipo leo haieleweki.
Kwa jina la uzalendo Polepole anananga anaowaita wahuni.
Kwa jina la uzalendo Polepole na Kabudi wananangwa na wanaowaita wao wahuni.
Kama migambo mwendo umekuwa ni kuruka kwa kukanyagana.
-----
View attachment 2042874
Kumsifia mtu aliye sema mwenyewe kuwa aliokotwa majalalani ni kuukosea sana ulimi na mdomo wako.Mama amewaacha wenye akili na kukumbatia mahuni Wacha wampake mavi.
Viva Prof. Kabudi
Kabudi ni mnafiki tu hana tofauti na PolepoleKabudi ni Bushman.
ajifunze kutofautisha uzalendo na unafiki.