Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya

Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya

Watu wanataka muungano Digtal au muungano Ufe kila Nchi waishi kivyake, huu muungano Analogia wenye mianya mingi ya Ulaji kupitia Wizara ya muungano watu wameuchoka Hakuna kisicho na mwisho wake,Serikari 1au 3 ndio Suluhisho pekee kinyume na hapo Muungano utafariki ghafra.
 
Jambo hili hata wanaopinga wengi wao wanafahamu ukweli huu, (isipokuwa wachache waliozoea kutumika kwa maslahi binafsi kama hawa waliopo huku jf) Cha kusikitisha mkuu wa nchi akaamua kujidhalilisha kutoa alichokiita maoni yake kwa mgongo wa chama. Mh JK angekaa kimya na kutafakari asingeropoka kwa kuelemewa na kelele za chama angejenga heshima, na angefuatilia na kutafakari kwa undani kabla ya kutumika kama chambo kwa kudhani pengine watz wataguswa na maneno ya mkuu wa nchi. Ukweli wanaufahamu ila ndg zangu hawa wamejaa hofu iletwayo na ubinafsi
 
Tujifunze kupitia muungano wa Ujeruman mashariki na magharibi sasa wana Serikali moja , china na hong cong wana serikali moja , muungano wa UK na ule wa USA wapelekwe viongozi wote wa Siasa waende wakajifunze jinsi ya kuendesha muungano kisayansi ( Digtal ) kuliko kung'ang'ania muungano Analogia na kufuga Ulalamishi mwingi huku watanganyika wakitaabika na pesa zao zinapotelea kwenye kulea na kulazimisha muungano.
 
Nilimsikiliza jana Prof.Kabudi,huyu ni mwalimu wangu ninamuheshimu sana.
Jana ametoa somo kubwa sana...akawajibu wale wanaotaka kueneza propaganda kuwa Tundu Lissu kamtukana Mwalimu Nyerere....lakin Kabudi katuonyesha kuwa,bado Lissu alitumia Lugha laini sana,kumbe huko nyuma kuna watu walioifananisha Tanganyika ya Nyerere na Wakoloni,na wakasema ”hatutaki kuwa koloni la Tanganyika“
Na kwamba ”ujinga” wa kizazi cha Mwalimu Nyerere na Karume hauwezi kuwa wa kwetu...ukiwa na akili timamu atamuelewa Tundu Lissu,lkn kwa kumsikiliza Hamphley Polepole na Prof.Kabuti nimapata picha kwanini CCM walikataa wajumbe wa Tume ya Katiba wasiwe sehemu ya Bunge la Katiba.
Aibu ni pale TBC walipozima matangazo wakati Prof.Kabuti akichanachana hoja ya S2 ya Ma-CCM,

hawakuzima bhana mapanya yalishambulia mitambo na kulazimisha matangazo kutokuwa hewani
 
Ningekuwa na uwezo wa kumshauri mwalimu wangu, dean wangu, na super visor wangu wa LL.B dissertation yangu, Prof. Palamagamba Kabudi, ningemshauri, aizamishe hii sense ya Tanganyika ndani ya vichwa vya CCM!. Hili ni suala tuu la kuwapatia elimu CCM, waelimike, waachane na ujinga wao wanaotaka kuulazimisha kwenye bunge maalum!.

Asante Prof. Kabudi, kulizungumzia hili.

Thanks.

Pascal.
Mayalla, nakuheshimu na tena naheshimu mawazo yako!... Nakumbuka saana ulipoendesha kipindi cha kiti moto kwa mafanikio makubwa.
 
Jambo hili hata wanaopinga wengi wao wanafahamu ukweli huu, (isipokuwa wachache waliozoea kutumika kwa maslahi binafsi kama hawa waliopo huku jf) Cha kusikitisha mkuu wa nchi akaamua kujidhalilisha kutoa alichokiita maoni yake kwa mgongo wa chama. Mh JK angekaa kimya na kutafakari asingeropoka kwa kuelemewa na kelele za chama angejenga heshima, na angefuatilia na kutafakari kwa undani kabla ya kutumika kama chambo kwa kudhani pengine watz wataguswa na maneno ya mkuu wa nchi. Ukweli wanaufahamu ila ndg zangu hawa wamejaa hofu iletwayo na ubinafsi

Hivi unajua hata J.M ni team buku7 huku jf??
 
Huyu Palamagamba kasombwa na wimbi lililomzoa Lipumba!
 
Wanahitaji ushauli juu ya tanganyika,maana hapo kuna zanzibar + tanganyika =TANZANIA hapo hapo eti wanahitaj serkar 2,zip ss
Wale wanaonufaika na aina ya muundo wa sasa ,hawataki kusikia Serikali 3 Maana masilahi Yao yatapotea,Nchi hii inacopy mengi toka Ng'ambo kwenye Tekinolojia zote inajitahidi kwenda nao kwa kiasi fulani , lakini suala la Muungano hawataki kubadilika wakihofia kupoteza Ulaji wao,Haya masilahi ya Wachache ndio kikwazo kikubwa kwa Serikali 3 ni Wakati wa kuamka tuidai Tanganyika kwa nguvu zote.
 
Muungano wa Marekani hauna Kero wala Marais Wawili na Makamu wa Rais watatu sanjari na waziri mkuu na viongozi wengi Kama Muungano huu wa Ajabu uliosalia Duniani.muugano wao Rais ni mmoja tu na makamu wake,kisha Nchi zote zinaongozwa na magavana,Hakuna longo longo,Ulalamishi,Udini na Uchoyo wa Ardhi na Mafuta baharini, hata Michango ya Muungano hutolewa kwa wakati,na Zile Nchi ndogo ndogo hazina Utitiri wa wabunge na Viongozi kisha kutegemea Mishahara na posho kulipiwa na Nchi kubwa ! Kila Nchi imejipanga kulingana na watu wake,wapo makini muungano wao ni wa Ukweli si wa kinafiki hawana Wizara ya muungano wala Vioja Kama muungano wetu, Tatizo kubwa ktk muungano huu ni masilahi ya Wajanja ambao wapo tayari kwa gharama yeyote ili mladi Serikali mbili zibaki Waendelee kuvuna pesa , ingelikuwa ni busara sana Kama tunge copy staili hii ya Marekani angalau ingesaidia kuja na muungano nafuu kuliko ilivyo sasa muungano unaendeshwa kwa Hasara hauna faida kwa Watanganyika.
 
Ningekuwa na uwezo wa kumshauri mwalimu wangu, dean wangu, na super visor wangu wa LL.B dissertation yangu, Prof. Palamagamba Kabudi, ningemshauri, aizamishe hii sense ya Tanganyika ndani ya vichwa vya CCM!. Hili ni suala tuu la kuwapatia elimu CCM, waelimike, waachane na ujinga wao wanaotaka kuulazimisha kwenye bunge maalum!.

Asante Prof. Kabudi, kulizungumzia hili.

Thanks.

Pascal.

Ckwamba CCM hawaelewi ila wanajitoa Ufahamu ndo7bu yakuivunja TUME mapema,,!
 
Dah! Kweli msumari umewaingia. Maana B7 leo siwaoni. Ila kidogo naona chris kwenye mada zingine akili imeanza kurudi.

Anyway ni ukweli uliodhahiri kuwa watanzania wengi uongo kwao ndiyo kweli na iwapo ule uongo walioaminisha watu ukiwekwa hadharani hutengeza chuki za maneno,vitendo,hila na hata mauaji. Huwezi kusema unataka serikali mbili kwa nchi mbili zilizoungana. Leo unakataa Tanganyika je tarehe 9/12 ni kwa ajili ya nchi gani? Mfano katika biashara Mnapoungana inamaana mnakuwa na leseni moja,akaunti moja na inapofikia wakati wa kugawana faida kila mtu anakuwa na akaunti private. Huu ni ujinga wa shule za kata kuunganisha nchi mbili na kuweka serikali mbili. Wakubali kuwa na serikali moja wa tatu.

Shida nyingine ni kujaza wanasiasa kuliko wanasheria
 
Out of Topic: "nikitaka kui-delete TBCcm kwenye king'amuzi changu cha Azam nafuata taratibu zipi??
 
Dah! Kweli msumari umewaingia. Maana B7 leo siwaoni. Ila kidogo naona chris kwenye mada zingine akili imeanza kurudi.

Anyway ni ukweli uliodhahiri kuwa watanzania wengi uongo kwao ndiyo kweli na iwapo ule uongo walioaminisha watu ukiwekwa hadharani hutengeza chuki za maneno,vitendo,hila na hata mauaji. Huwezi kusema unataka serikali mbili kwa nchi mbili zilizoungana. Leo unakataa Tanganyika je tarehe 9/12 ni kwa ajili ya nchi gani? Mfano katika biashara Mnapoungana inamaana mnakuwa na leseni moja,akaunti moja na inapofikia wakati wa kugawana faida kila mtu anakuwa na akaunti private. Huu ni ujinga wa shule za kata kuunganisha nchi mbili na kuweka serikali mbili. Wakubali kuwa na serikali moja wa tatu.

Shida nyingine ni kujaza wanasiasa kuliko wanasheria
Ulee muungano wa Nyerere na karume japo haukuwa na Hati ulikuwa muungano mzuri hakukua na Ujanja ujanja mwingi Kama Muungano huu wa sasa ambao umepenyeza mambo mengi Kienyeji kienyeji pasipo lidhaa ya Watanganyika matokeo yake Zanzibar wameibuka na Kuwa Nchi Kinyemela, tena kibaya zaidi Pesa ya kujijenga mpaka Kuwa Nchi inatoka Tanganyika,sasa Zanzibar wanawaona Tanganyika ni Mazoba na wapo million 44 lakini Wanapelekeshwa na Wazanzibar million 1.5 tu Kama Kondoo ! zimetumika pesa nyingi sana kwa ajili ya kuubembeleza Muungano ambao hauna faida kwa Watanganyika ,huku ZNZ akifaidika kwa mengi kwani Wamelundika Lundo la Watumishi wa Umma na Utitiri wa Wabunge kisha Wanategemea Mishahara itoke Tanganyika,kwa kweli ZNZ anainyonya Tanganyika hadi wamepitiliza sasa,cha ajabu Wazenji wanakula wakishashiba wanavulumusha Vuvuzela ili kuwapumbaza Watanganyika ambao walikuwa wamelala sasa wameanza kuamka ndio Maana wanaitaka Tanganyika irejeshwe haraka.
 
Kauli Mbiu : Tanzania bila Tanganyika Haikubaliki:
 
Back
Top Bottom