Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Huyo jamaa kabila lake ni la kina MatonyaHivi yule jamaa ni mtu wa wapi? Pamoja na u Prof wake ila amekaa ki shamba shamba sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa kabila lake ni la kina MatonyaHivi yule jamaa ni mtu wa wapi? Pamoja na u Prof wake ila amekaa ki shamba shamba sana.
Ungekuwa ndo jpm, ungependekeza awe Nani mbadala wa huyo ?Wizara ya mambo ya nje ni nyeti sana inahitaji kuongozwa na mtu smart mtu ambae anaweza kuiuza taswira nzuri ya nchi kwenye medani za kimataifa.
Katika nyakati hizi ambapo utawala wa Dkt. Magufuli unayooshewa kidole na jumuiya ya kimataifa kuna haja sasa ya kuwa na waziri wa mambo ya nje smart ili kutuliza mtizamo huu mbaya wa mataifa ya nje.
Kabudi si aina ya mtu wa kuibrand nchi yetu tatizo la kabudi anawaza na kutenda kumfurahisha Dkt. Magufuli nae anaonekana kuwa ni walewale katika jumuia ya kimataifa.
Kabudi ana kasumba moja ualimu wa hovyo yeye hudhani kuwa akipewa nafasi ya kuzungumza basi ile hadhira anawachukulia kama hawajui kitu na kwa hiyo wanapashwa kujifunza kutoka kwake tabia hii ya kujitia mjuaji si tabia ya waziri wa mambo ya nje.
Kamshauri Magufuli amtafutie kazi nyingine huyu Kabudi hiyo wizara apewe mtu mwingine labda tujadili nani anafaa?
Mhhh.. ndo mana aisee.. mtu huwezi kuwa vile halafu una Phd Nilijua tu kuna tatizo mahaliHuyo jamaa kabila lake ni la kina Matonya