PostGE2025 Profesa Kabudi: Rais Samia ni kiongozi madhubuti anayewapenda wananchi wake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Msikilize Mbunge wa Kilosa Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi amesema hotuba aliyotoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13 imewapa Watanzania mwanga mpya na kuongeza imani juu ya safari ya maendeleo kwa miaka mitano ijayo.

Nini maoni yako.
 
Kapata mungu mwengine baada ya yule aliyemwita mungu, Magufuli amefariki ??
 
Msikilize Mbunge wa Kilosa Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi amesema hotuba aliyotoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13 imewapa Watanzania mwanga mpya na kuongeza imani juu ya safari ya maendeleo kwa miaka mitano ijayo.

Nini maoni yako.
Ametupenda na akauwa ndugu zetu zaidi ya elfu 10, yeye na watoto wake na ndugu zake wapo tu hawana shida. Au ni ile honour killings ya nchi zingine za kiarabu/Kiislaam
 
Ukisikia ya Kabudi, utasikia na ya Lukuvi.

20251116_104419.png
 
Msikilize Mbunge wa Kilosa Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi amesema hotuba aliyotoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13 imewapa Watanzania mwanga mpya na kuongeza imani juu ya safari ya maendeleo kwa miaka mitano ijayo.

Nini maoni yako.
Kwani huwezi kudanganya kwa sauti ya kawaida tu mpaka udanganye kwa sauti ya muhubiri?
 
Ukisikia ya Kabudi, utasikia na ya Lukuvi.

View attachment 3502670
Huyu naye ni kati ya wale walevi wa madaraka, sijui kama akili yake ipo sawa? Huyu alisemaga kuwa Samia atagombea hadi 2030 na ikiwezekana kama atataka kuendelea hadi 2035. Huyu Lukuvi njaa yake kama ya Kabudi imehamia kichwani kutoka tumboni.....Ni hatari kuwa na viongozi wa namna hii, wasio sema ukweli. Huu uchaguzi ulikuwa na amani na utulivu?
 
Msikilize Mbunge wa Kilosa Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi amesema hotuba aliyotoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13 imewapa Watanzania mwanga mpya na kuongeza imani juu ya safari ya maendeleo kwa miaka mitano ijayo.

Nini maoni yako.
Kumbe wale wa liar testing hawakukosea kabisa. Ona kope zinavyocheza....!!!
 
Heti hawa ndo team Magufuli wanajua heti jamii inawaamini na Bashiru sasa hivi watu wanajua mbivu na mbichi Kabudi na Bashiru wako After vyeo
 
Bashiru alivyokuwa chuoni, angalau alikuwa ana akili kidogo, ila tokea alivyopewa ubunge amegeuka chawa kama huyo Kabudi.
 
Back
Top Bottom