PostGE2025 Profesa Kabudi: Rais Samia ni kiongozi madhubuti anayewapenda wananchi wake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu si ndo alitolewa Yale maeneo watu huokota mabobo ya Maji?
 
Takataka kabisa huyu mzee wa majalalani .
 
Takataka kabisa huyu mzee wa majalalani
 
Mzee anajaribu kuyatakatisha matamshi yake aliyowahi kuyatoa.
 

Attachments

  • hTdglU9ATteFW09U.mp4
    3.9 MB
Kwa habari za uchawa toka jalalani tubonyeze ngapi?
 
So sad kusikia prodesa kama Kabudi anaongea upupu,huyu jamaa elimu haujawahi kumsaidia,amekua super chawa
 
Sasa nyie mnaosifia Elimu huyu na kijana wa Gen Z alieishia fom 3 akiwaka kitaa nani Yuko timamu kichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…