Profesa Kabudi tunakushukuru kutusaidia sana kuangalia mikataba

Profesa Kabudi tunakushukuru kutusaidia sana kuangalia mikataba

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Pamoja na uchawa wake na kupenda kujipendekeza kwenye mikataba Professor kabudi umesaidia sana kuangalia mikataba na kuweka uwazi ambao haukuwepo. Zamani tulikuwa na Chenge ambaye alikuwa anajifikira yeye kuliko nchi

kabudi.jpg
 
Mpaka Sasa ndege moja imekamatwa huko uholanzi ,tunadaiwa BILIONI 100 kutokana na ujinga WA huyu Babu
 
Kabudi kiboko anaingiza hadi mambo ya chungu cha mwisho wa Ramadhani imechangia kuleta mkataba wenye neema.

Anaongea huku anamtupia jicho boss kama maneno ya upambe yanamfurahisha; hakuna namna ‘Bi Tozo’ mwenyewe ikabidi alitoe hilo tabasamu. Naona leo Kabudi toka anaenda kwenye hiyo hafla Ali panga kwenda kujikweza kweli kweli.
 
Aliyewafanya kina Prof Kabudi na Dr Bashiru kuingia kwenye siasa za nchi hii na kuacha waliyokuwa wanafanya ni wa kulaumiwa.
Dhalimu ndio aliwaingiza kwenye siasa, kisha akawa anawaagiza kama wake zake.
 
Back
Top Bottom