Pre GE2025 Profesa Lipumba ajitosa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti CUF

Pre GE2025 Profesa Lipumba ajitosa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti CUF

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Nimefurahi kuona watu wengi wamechukua fomu kugombea dhidi ya Lipumba. Same should be observed in CCM and Chadema kuruhusu watu wengi kugombea sio kuitwa wahaini au wasaliti kisa kugombea
 
Wagombea tisa wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo Prof. Ibrahimu

Pia, Soma: Katibu Mkuu CUF: Uchaguzi Mkuu CUF Utapita Bila Mgogoro, Wanachama hawana Tamaa ya Madaraka

Lipumba wanatarajiwa kuchuana katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mwenyekiti mpya wa chama hicho katika uchaguzi mkuu unaofanyika kila baada ya hmiaka mitano.
View attachment 3179441
Zee halina aibu hili na kichwa chake chenye nywele robo kichwa,kama awesome amesomewa Kurjuan vile.
 
Nimefurahi kuona watu wengi wamechukua fomu kugombea dhidi ya Lipumba. Same should be observed in CCM and Chadema kuruhusu watu wengi kugombea sio kuitwa wahaini au wasaliti kisa kugombea
Ccm hata mwenyekiti anayepita akishindwa huyo anayekuja hawezi kupewa kugombea uraisi ikiwa yule rais aliye madarakani hajamaliza miaka 10.kwa Hyo ni kazi bure
 
Tatizo la kutokuwa na ukomo wa uongozi mijitu inang'angania.
 
Wagombea tisa wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo Prof. Ibrahimu

Pia, Soma: Katibu Mkuu CUF: Uchaguzi Mkuu CUF Utapita Bila Mgogoro, Wanachama hawana Tamaa ya Madaraka

Lipumba wanatarajiwa kuchuana katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mwenyekiti mpya wa chama hicho katika uchaguzi mkuu unaofanyika kila baada ya miaka mitano.
View attachment 3179441
Hivi hii CUF kwenye uchaguzi wa kishetani wa Mchengerwa ilipata hata Mwenyekiti wa kitongoji mmoja?
 
Uwepo wa Mbowe unahalalisha uwepo Lipumba!

Lipumba alishajivunjia heshima kitambo, alipojivua uanachama na kujiuzulu uongozi, Kisha kuja kupora chama kwa msaada wa dola!
 
Back
Top Bottom