PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Wapemba wanakitaka Chama chao, wameki miss sanaWagombea tisa wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo Prof. Ibrahimu
Pia, Soma: Katibu Mkuu CUF: Uchaguzi Mkuu CUF Utapita Bila Mgogoro, Wanachama hawana Tamaa ya Madaraka
Lipumba wanatarajiwa kuchuana katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mwenyekiti mpya wa chama hicho katika uchaguzi mkuu unaofanyika kila baada ya miaka mitano.
View attachment 3179441