Pre GE2025 Profesa Lipumba ajitosa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti CUF

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
😂😂😂

Prof Lipumba naye alikuwaga pale Ikulu enzi za Mzee Mwinyi
 
Nimefurahi kuona watu wengi wamechukua fomu kugombea dhidi ya Lipumba. Same should be observed in CCM and Chadema kuruhusu watu wengi kugombea sio kuitwa wahaini au wasaliti kisa kugombea
 
Zee halina aibu hili na kichwa chake chenye nywele robo kichwa,kama awesome amesomewa Kurjuan vile.
 
Nimefurahi kuona watu wengi wamechukua fomu kugombea dhidi ya Lipumba. Same should be observed in CCM and Chadema kuruhusu watu wengi kugombea sio kuitwa wahaini au wasaliti kisa kugombea
Ccm hata mwenyekiti anayepita akishindwa huyo anayekuja hawezi kupewa kugombea uraisi ikiwa yule rais aliye madarakani hajamaliza miaka 10.kwa Hyo ni kazi bure
 
Tatizo la kutokuwa na ukomo wa uongozi mijitu inang'angania.
 
Hivi hii CUF kwenye uchaguzi wa kishetani wa Mchengerwa ilipata hata Mwenyekiti wa kitongoji mmoja?
 
Uwepo wa Mbowe unahalalisha uwepo Lipumba!

Lipumba alishajivunjia heshima kitambo, alipojivua uanachama na kujiuzulu uongozi, Kisha kuja kupora chama kwa msaada wa dola!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…