Pre GE2025 Profesa Lipumba ajitosa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti CUF

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapa machawa na makunguni na viroboto wa chama chawala huwezi kuwaona wakiandika mada ndefu ndefu
 
Badalaya kufanya toba baada ya kuingiza fitna cuf kwa tamaa ya pesa anazidi kujiingiza ktk shimo. Hijja alienda kufanya nini?
 
Angekuwa ndugu yetu Makongoro Nyerere angesema haya kuhusu Lipumba;
Mwaka 1999 - Lipumba Yupo
Mwaka 2004- Lipumba Yupo tu
Mwaka 2009-Lipumba yupo tu
Mwaka 2014 -Yupo tu
Mwaka 2019 - Lipumba yupo
Mwaka huu 2024- Lipumba bado yupo tu

Ni kama vile hawaamini Kuna wengine wanaweza kuwa Viongozi wazuri hapo CUF kuliko wao

The same na Kwa Mbowe hapo CDM🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…