#COVID19 Profesa Lipumba apata chanjo ya Covid-19, ashauri wananchi wachangamkie fursa

#COVID19 Profesa Lipumba apata chanjo ya Covid-19, ashauri wananchi wachangamkie fursa

Kumbe Mwenyekiti ana mke? Sijawahi hata kumuona nahisi hata watoto wake sijawahi kuwaona
Huyo ni ustadhi shehe mambo ya kuonyesha wake kwanza sio utamaduni wao.

Ni vuzuri kumtenga mwanamke na mambo ya siasa.
 
Huyu jamaa ana PhD ya uchumi kutoka chuo kikuu Stanford nchini marekani, wamarekani wenyewe wanapigana vikumbo kupata chance ya kusoma hapo Stanford, lakini mwamba alitoboa huko
View attachment 1863345
Huyu jamaa alitakiwa kuwa either bot Governor au waziri wa fedha toka miaka ya 90 hivi

Uchumi wetu labda ungekuwa tofauti sana.
 
Tatizo la kwanza ni njaa la pili ni fursa, kwa mazingira yetu wanaosoma sana hata vyuo vile vya juu kabisa nje ya nchi wakirudi nyumbani ni ngumu sana kuona fursa za kutumia elimu yao...
Maelezo yako yamejitosheleza sana mkuu, sina ujanja wa kukupinga.
 
Miccm nasikia inachanjwa kimya kimya halafu wakija huku nje inatudanganya
 
"Usimwamini Mwanasiasa" unknown author but its true
 
Profesa mbobezi wa Uchumi duniani. Amepata chanjo ya Korona jijini. Mimi Ni Nani na Elimu ya kuunga-unga nisipate chanjo?
 
Profesa mbobezi wa Uchumi duniani. Amepata chanjo ya Korona jijini. Mimi Ni Nani na Elimu ya kuunga-unga nisipate chanjo?
Unauliza ww ni nani🤔? Ww ni bendera kifuata upepo! Fuvu lako limejaza kitu kingine tu na wala siyo ubongo!
 
Huku kwetu chanjo inaogopwa zaidi ya Corona yenyewe, wonders shall never end.
 
Back
Top Bottom