technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Huyo ni ustadhi shehe mambo ya kuonyesha wake kwanza sio utamaduni wao.Kumbe Mwenyekiti ana mke? Sijawahi hata kumuona nahisi hata watoto wake sijawahi kuwaona
Huyu jamaa alitakiwa kuwa either bot Governor au waziri wa fedha toka miaka ya 90 hiviHuyu jamaa ana PhD ya uchumi kutoka chuo kikuu Stanford nchini marekani, wamarekani wenyewe wanapigana vikumbo kupata chance ya kusoma hapo Stanford, lakini mwamba alitoboa huko
View attachment 1863345
Maelezo yako yamejitosheleza sana mkuu, sina ujanja wa kukupinga.Tatizo la kwanza ni njaa la pili ni fursa, kwa mazingira yetu wanaosoma sana hata vyuo vile vya juu kabisa nje ya nchi wakirudi nyumbani ni ngumu sana kuona fursa za kutumia elimu yao...
Huenda serikali inamuhofia kuwa ni pandikizi la mabeberu.Huyu jamaa alitakiwa kuwa either bot Governor au waziri wa fedha toka miaka ya 90 hivi
Uchumi wetu labda ungekuwa tofauti sana.
Ukiumwa Corona utabadili maneno yako haraka sana.Hawa jamaa sio hata wa kuwaamini wanaingia hospital wanatoka na bandeji eti kachoma chanjo, aache longolongo
Kachanjwe mkuu mie SICHOMI KAMWEUkiumwa Corona utabadili maneno yako haraka sana.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu ebu acha uchochezi pengine anakula raha tele kwa liPUMBA.
Mimi nadhani Palamagamba ni the first akifuatiwa na Ndalichako, Lipumba anashika namba tatuProfessor wa ovyo ovyo kuwahi kutokea tangu tupate uhuru akifuatiwa na palamagamba.
Apewe tuzo ya heshima kwakweli 😂 😂Huyo mama ana anauvumilivu sana,anatakiwa apongezwe
Daaa nilikuwa nimemsahau na hyu mama wa ovyo ovyo.Mimi nadhani Palamagamba ni the first akifuatiwa na Ndalichako, Lipumba anashika namba tatu
Unauliza ww ni nani🤔? Ww ni bendera kifuata upepo! Fuvu lako limejaza kitu kingine tu na wala siyo ubongo!Profesa mbobezi wa Uchumi duniani. Amepata chanjo ya Korona jijini. Mimi Ni Nani na Elimu ya kuunga-unga nisipate chanjo?