John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo.
Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika uchaguzi uliofanyika Januari 29, 2022 akishindana na Juma Haji Duni, amekihama chama hicho na kirejea CUF kwa madai ya kutokuridhishwa na mchakato wa uchaguzi.