John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Watajuana hao hezburaMwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo.
Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika uchaguzi uliofanyika Januari 29, 2022 akishindana na Juma Haji Duni, amekihama chama hicho na kirejea CUF kwa madai ya kutokuridhishwa na mchakato wa uchaguzi.
Wacha ubaguzi.Huko CUF,L Lipumba ni muarabu?Na hao waliohama ni waarabu?Mbona huko ACT wapo kina Mazrui,Bimani,Jusa na wengine wengi wenye asili ya weupe.Wapemba waarabu wengi wataondoka ACT wazalendo
Kisa kikubwa chama kimeshikwa na watu ngozi nyeusi akina Duni haji na yule ngozi nyeusi makamu wa Raisi wa Zanzibar
Mpemba Mwarabu hapendi kuwa chini ya Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa Mtumwa
Baada ya kifo cha Maalim Seif ilitakiwa wampe mpemba mwarabu ndipo roho za wapemba waarabu zingefurahi
Watahama wengi sana
50 tu? Chama kina maelfu kwa malaki ya wanachama, huyu Hamad massoud kapeleka 50 tu? CUF kwisha habari yake tenaMwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo.
Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika uchaguzi uliofanyika Januari 29, 2022 akishindana na Juma Haji Duni, amekihama chama hicho na kirejea CUF kwa madai ya kutokuridhishwa na mchakato wa uchaguzi.
Na asiporidhishwa na mchakato wa uchaguzi ndani ya CUF atahamia wapi tena???Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo.
Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika uchaguzi uliofanyika Januari 29, 2022 akishindana na Juma Haji Duni, amekihama chama hicho na kirejea CUF kwa madai ya kutokuridhishwa na mchakato wa uchaguzi.
Act iwe na wanachama laki ????50 tu? Chama kina maelfu kwa malaki ya wanachama, huyu Hamad massoud kapeleka 50 tu? CUF kwisha habari yake tena
Kule zanzibar tu ni karibu ya asilimia 80% ya wazanzibari wote wanaopiga kuraAct iwe na wanachama laki ????
Huko CUF si wanaenda kuwa chini ya Ngozi nyeusi? Au Lipumba ni mwarabu wa Tabora?Wapemba waarabu wengi wataondoka ACT wazalendo
Kisa kikubwa chama kimeshikwa na watu ngozi nyeusi akina Duni haji na yule ngozi nyeusi makamu wa Raisi wa Zanzibar
Mpemba Mwarabu hapendi kuwa chini ya Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa Mtumwa
Baada ya kifo cha Maalim Seif ilitakiwa wampe mpemba mwarabu ndipo roho za wapemba waarabu zingefurahi
Watahama wengi sana
Mliowashinda kuwanunua mnatumia mahakama wa risasi kuwamaliza. Usijitoe ufahahamu hapa.Kama ni hivyo basi Chadema kazi yao kuuza viongozi mfano wabunge 19 wote mnasema wamenunuliwa na CCM ,haya Slaa ohh kafika bei,Mashinji ooh kafika bei,Lowasa ohh kafika bei nk ina maana Chadema ni gulio la kuuza
Conclussion basi Tanzania upinzani haupo sababu hakuna chama viongoI wake wengi hufika bei na kununulika kama Chadema
Lipumba ni mwarabu????Wapemba waarabu wengi wataondoka ACT wazalendo
Kisa kikubwa chama kimeshikwa na watu ngozi nyeusi akina Duni haji na yule ngozi nyeusi makamu wa Raisi wa Zanzibar
Mpemba Mwarabu hapendi kuwa chini ya Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa Mtumwa
Baada ya kifo cha Maalim Seif ilitakiwa wampe mpemba mwarabu ndipo roho za wapemba waarabu zingefurahi
Watahama wengi sana
Hao walioko ACT wazalendo walimfuata Seif sasa hayupo wanatafuta pa kwenda kujipanga baada ya kuona ACT wazalendo viongozi wa juu wote kizazi cha watumwa ngozi Nyeusi kuanzia Zitto KABWE,Duni Haji na yule wa Zanzibar Makamu wa RaisiWacha ubaguzi.Huko CUF,L Lipumba ni muarabu?Na hao waliohama ni waarabu?Mbona huko ACT wapo kina Mazrui,Bimani,Jusa na wengine wengi wenye asili ya weupe.
Umeandika propaganda ya kipuuzi hapa, kwani Zitto akiwa mfalme wao muda wote alikuwa ngozi nyeupe?!Wapemba waarabu wengi wataondoka ACT wazalendo
Kisa kikubwa chama kimeshikwa na watu ngozi nyeusi akina Duni haji na yule ngozi nyeusi makamu wa Raisi wa Zanzibar
Mpemba Mwarabu hapendi kuwa chini ya Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa Mtumwa
Baada ya kifo cha Maalim Seif ilitakiwa wampe mpemba mwarabu ndipo roho za wapemba waarabu zingefurahi
Watahama wengi sana
Zitto na Lipumba siyo watu wa kuwaamini hata kidogoMwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo.
Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika uchaguzi uliofanyika Januari 29, 2022 akishindana na Juma Haji Duni, amekihama chama hicho na kirejea CUF kwa madai ya kutokuridhishwa na mchakato wa uchaguzi.
Lakini Lipumba na Zitto hawaamini hata kidogoHao walioko ACT wazalendo walimfuata Seif sasa hayupo wanatafuta pa kwenda kujipanga baada ya kuona ACT wazalendo viongozi wa juu wote kizazi cha watumwa ngozi Nyeusi kuanzia Zitto KABWE,Duni Haji na yule wa Zanzibar Makamu wa Raisi
Lipumba wanajua kajizeekea wanaendavkukirudisha CUF mikononi mwao wajipange kule upya ndiko pekee wanakokuona kuwa waweza jipanga kule fursa ipo