Profesa Lipumba awapokea wanachama 50 kutoka ACT Wazalendo

Umeandika propaganda ya kipuuzi hapa, kwani Zitto akiwa mfalme wao muda wote alikuwa ngozi nyeupe?!

Hovyo kabisa. ACT kama tawi la CCM inaenda kujifia.
Walingia kwa dharura tu ili washirki uchaguzi mkuu
 
Picha please
 
Kule zanzibar tu ni karibu ya asilimia 80% ya wazanzibari wote wanaopiga kura
Na usishangae hao 50 wameenda kusherehesha tu kwa style ya kula vijipesa walivyogaiwa na huyo bwankubwa aliyeukosa uwenyekiti
Vijipesa sma kwenda kufakamia ubwabwa
 
Wacha ubaguzi kenge weeee
 
50 tu? Chama kina maelfu kwa malaki ya wanachama, huyu Hamad massoud kapeleka 50 tu? CUF kwisha habari yake tena
Alijisanganya atashusha Tanga atapandisha Tanga na kufatwa na maelfu ya Wazanzibar
 
Watanganyika ujinga NI nature Yao na chuki dhidi ya wazanzibar
 
Kama ni hivyo,bora wangebaki ACT,huko ndiko kuna wenye asili ya weupe wengi.Hata Juma duni Haji,anakaribiana umri na Lipumba.
 
Vijamaa vibaguzi sana..nasikia hata kwenye misikit haviswali kwenye misikiti inayoendeshwa na ngozi nyeusi..eti dua hazifiki kwa mnyazimungu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kashaanza propaganda hatoboi professor nakwambia
 
Hakuna mwanachadema aliyekwenda CCM bila kupewa kitu kidogo, wengi wao wamepewa vyeo wakiachwa wanaccm wa miaka mingi.
 
Wawe ACT au CUF, hakuna tofauti...
 
basi huko uliko unajiona umeandika kwelikweli mwenyewe
 
Apokee 50000 kabisaa, ila niwalewakukodi au was kimkakati kama ilivyo Kwa COVID 19🤔
 
Kwani huyo Hamad Masoud ni mwarabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…