Profesa Lipumba awapokea wanachama 50 kutoka ACT Wazalendo

Hivi Waarabu huwa mnawaona wapi Zanzibar? Nilikwishafika Zanzibar na Pemba. Na pia nikafika nchi za waarabu - Egypt, Tunisia, Jordan... Sikuwahi kuwaona huko Waarabu wanaofanana na Wapemba hawa ninaoona hapa!!
 
Mliowashinda kuwanunua mnatumia mahakama wa risasi kuwamaliza. Usijitoe ufahahamu hapa.
Halafu ukifikiria ni pesa za serikali (kodi za wananchi) ndio zinatumika inasikitisha sana.

Nchi yenyewe hii bado ni LDC inaishi kwa misaada na mikopo nafuu; viongozi wanazamisha pesa "kuzima" upinzani. Halafu mashabiki wanaona sawa manunuzi ya viongozi wa upinzani kama vile hela inatoka mifukoni mwa watu. Tukiitwa a shthl country tunakuja juu.
 
Inasikitisha sana. Yote Haya yanafanyika Kwa ajili ya maslahi ya wachache ni familia zao. Lakini wanatumia maskini waliowengi kujustify mambo yao.
 
Alijisanganya atashusha Tanga atapandisha Tanga na kufatwa na maelfu ya Wazanzibar
jimboni kwake hawamtaki aje kufuatwa ni maelfu wazanzibari atawapata wap
Juzi alipotoka ACT jimboni kwane tawi jipya la ACT limefunguliwa nyomi balaa, kadi za kielekronit Zitto amegawa kama utitiri,
Mtumeni yeyeye afanye kamkutano hapo jimbo muone fedheha labda atahutubia mimema viti na meza
 
M
Mnataka kuniambia Mwananchi wamepika takwimu. Tuambieni tuwashighulikie kwa ile sheria yetu.
 

Kwahiyo Lipumba ni mwarabu? Acha siasa za kishamba dogo.
 

Usitake kuchanganya ili ionekane hizo hali zinafanana, wabunge 19 hawajafika bei, bali wemepewa ubunge kwa njia ya uani ili kuhalalisha ule uchaguzi wa kihayawani, na kupandikiza migogoro ndani ya cdm. Slaa alikubali kuhongwa na ccm kutokana na kuidhiria cdm baada ya nafasi yake halali ya kugombea urais kupewa Lowassa. Mashinji, Nassari nk hao walifika bei baada ya kushindwa kuvumilia mateso toka kwa dhalimu wa chattle.

Lowassa yeye hajapewa hata shilingi ili kurejea ccm, bali ilibidi arudi ccm shingo upande maana zaidi ya 90% ya mali zake ni za wizi alipokuwa madarakani. Hivyo ili abaki salama na mali zake za wizi zisiguswe, ilibidi ajisalimishe ccm, ili yule kiongozi muovu asimfanyizie.
 
Hii ni hoja ya kibaguzi sana. Ni upuuzi kujenga hoja zilizojaa ubaguzi nanna hii karne ya 21. Tena toka kwa mtu anayejiita GT?
 

Punguzeni mihemko
 
Umesahau wabunge na madiwania waliouzwa 2016-2020?
 
Hongera sana Professor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…