CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA"
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni.
Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa wilaya, makatibu wa wilaya, wenyeviti wa kata, makatibu wa kata, viongozi wa wakuu wa jumuiya zote za chama za ngazi zote.