CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Niliwahi kuwaza kuwa kama ACT watataka kummaliza lipumba na mbatia,njia ya mkato ni kufanya maridhiano na serikali,🤩🤩Mzee zama zako na Mbatia zimeshapita sasa waacheni ACT & special 19 wale mema ya nchi.
Sasa ubaya Lipumba hataki kukubaliana na muda ndio maana anakuja kwa kila styleNiliwahi kuwaza kuwa kama ACT watataka kummaliza lipumba na mbatia,njia ya mkato ni kufanya maridhiano na serikali,[emoji2956][emoji2956]
Lipumba kwisha habari yake...
Ndio ujuwe Lipumba Ndio alikuwa anamuhitaji zaidi Maalim Seif kuliko Maalim Seif kumuhitaji Lipumba.Niliwahi kuwaza kuwa kama ACT watataka kummaliza lipumba na mbatia,njia ya mkato ni kufanya maridhiano na serikali,[emoji2956][emoji2956]
Lipumba kwisha habari yake...
Lipumba is dead snake.SAFI LIPUMBA RUDISHA HADHI YA CUF ,ACT WAMESALIMU AMRI
View attachment 1645460SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA"
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika ofisi kuu ya chama Buguruni.
Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa wilaya, makatibu wa wilaya, wenyeviti wa kata, makatibu wa kata, viongozi wa wakuu wa jumuiya zote za chama za ngazi zote.
ACT IS A DEAD FLYLipumba is dead snake.
Hivi hapa hawa anaozungumza nao wanatimiza angalau milo 2 kwa siku?View attachment 1645460
SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA"
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni.
Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa wilaya, makatibu wa wilaya, wenyeviti wa kata, makatibu wa kata, viongozi wa wakuu wa jumuiya zote za chama za ngazi zote.