Profesa Makame Mbarawa ni Clatous Chota Chama aliyekuwa amekaa Bench katika Kikosi imara cha Samia Tanzania FC

Professor Mbarawa mtu mwenye uwezo mkubwa, mwadilifu, asiye mbaguzi na mvumilivu kwelikweli. Sijui kwa nini JPM alimtosa. Anyways alikuwa anatafuta nafasi nyingi iwezekanavyo kwa wa ukanda wenzie. Naomba Mungu hilo lisijerudiwa na kiongozi yoyote kwa kiwango chochote. Karibu Professor ulisaidie Taifa.
 
Hii ya wazanzibari kuja kuongoza huku Tanganyika ni mambo ya hovyo kabisa.

Tubadili katiba wazanzibari wakae huko kwao.
Sawa lakini mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni... Huyo wa Tanganyika aliyeondolewa hata nusu ya mbarawa hamfikii...
 
Mupe.......Muruke.....Tukipeana......Tutawezana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…