BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
DODOMA: Mbunge Prof. Shukrani Elisha Manya amesema Maeneo mengi ya Makazi nchini hayajatengewa sehemu maalumu za Kuhifadhi Taka, hali inayosababisha kuzagaa kwa Taka mitaani
Pia, amesema ratiba ya Magari yanayopita kukusanya Taka kwenye makazi ya Watu haziko wazi na hazijulikani kwa Wananchi na hivyo kukwamisha zoezi la uzoaji Taka kwenye makazi
Aidha, ameshauri Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira itoe mwongozo kwenye Mamlaka zote za TAMISEMI nchini ili kuwe na utaratibu unaoleweka wa jinsi ya kutunza Taka.