Prof ànasikitisha, kichwani kumejaa majalala tu.Ccm hamueleweki aisee, huyu mbunge aliteuliwa kutoka department ya geology udsm ili awe naibu waziri wa madini, sasa mkamfukuza uwaziri ila bado Kawa mbunge sasa sijui anamuwakilisha nani huko bungeni, hii nchi kuna usengerema mwingi sana unaendelea...... Inatakiwa tupate mtu kama Hitler hata mwaka tu
Ni kweli halafu huyu Profesa yuko vizuri kichwani. Alipokuwa madini alipatendea haki, bora wangemrejesha atumie utaalamu wake kuendeleza ile sekta. Tukipunguza siasa nyingi kwenye mambo ya msingi hasa ya kitaalamu tutasonga mbele kwa kasi!Ccm hamueleweki aisee, huyu mbunge aliteuliwa kutoka department ya geology udsm ili awe naibu waziri wa madini, sasa mkamfukuza uwaziri ila bado Kawa mbunge sasa sijui anamuwakilisha nani huko bungeni, hii nchi kuna usengerema mwingi sana unaendelea...... Inatakiwa tupate mtu kama Hitler hata mwaka tu