CHEF
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 222
- 122
Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana.
Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa inanisumbua sana. Sauti inaniambia niseme Profesa Mark Mwandosya aambiwe agombee urais atashinda lakini ataongoza kwa kipindi kimoja tu, ahakikishe anawapa mamlaka wananchi na kuipa dira ya kiuchumi na kiutawala nchi.
Ahakikishe mgombea mwenza wake ni competent enough kuongoza nchi . Ni hayo tu kwa kufikisha ujumbe hapa nahisi sauti hii inakoma kuniijia.
Aksante