Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

Mwandosya nilienda kumuona nyumbani kwake Kyela, afya imedorora na amechoka sana. Atachosha taifa, aachwe apumzike. Majikumu yale yanataka mtu makini na timamu kimwili.

Mwandosya hata ngazi za ndege Boeing 373 hawezi kumaliza
Njoo na picha
 
Aisee, JF imekuwa jukwaa la maono siku hizi, yaheshimiwe kwa kweli.
 
Badala ya kuipeleka hii ndoto kwa mtu anayehusika, wewe unaianika huku jamvini........wee jamaa unapenda umbeya sana, nahisi hiyo ndoto imepotea njia....
 
Hanijui mkuu, na sijui namna ya kumpata na kumuambia hii sauti iliyokuwa inaniijia
 
Itatusaidia Nini sie?
 
Huyu si ndiye tunaambiwa alotuharibia TTCL
 
Naona Kuna watu wametumwa kupima Upepo!

Walianza na Makamba, Mwigulu, Majaliwa, Mpina na Mwandosya.

Nina Uhakika, hamtaamini macho yenu Jina litakalo Rudi
 
Jamani naomba Mzee wa watu asishirikishwe kwa chochote kwenye uzi huu naomba nieleweke hivi Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!

Naona Kuna watu wametumwa kupima Upepo!

Walianza na Makamba, Mwigilu, Majaliwa, Mpina na Mwandosya.

Nina Uhakika, hamtaamini macho yenu Jina litakalo Rudi
 
Endelea kulala
Jamani naomba Mzee wa watu asishirikishwe kwa chochote kwenye uzi huu naomba nieleweke hivi Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!
 
Huyu si ndiye tunaambiwa alotuharibia TTCL
Jamani naomba Mzee wa watu asishirikishwe kwa chochote kwenye uzi huu naomba nieleweke hivi Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!
 
Jamani naomba Mzee wa watu asishirikishwe kwa chochote kwenye uzi huu naomba nieleweke hivi Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!
Endelea kuota Mkuu
 
Endelea kuota Mkuu
Mkuu hii sio ndoto , ni sauti iliyokuwa inajirudia inaniijia na sijui nimwambie nani ili ikome leo nimeamua kuandika hapa JF ili sauti hii ikome vizuri.
 
Maji mtaita mma
Niliwahi kwenda Chunya hakyamama mnyaki mwenye baiskeli au pikipiki hapishi gari bali wewe umkwepe au umfuate nyuma.
Wanyaki mna kiburi shetani aje kusomea kwenu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…