Zanzibar 2020 Profesa Mbarawa atapita Zanzibar kwa zaidi ya 80%

Nafasi anastahili Ali Karume mtu wa watu. Wagombea wengine wanasukumwa na blind ambition . Karume oyee.
 
Nitashukuru sana hilo likitokea, sipendi Hussein Mwinyi ashinde au akaribie ushindi.

Nwenyenzi mungu amuonyeshe Mzee Mwinyi kuwa ni Haram Maktaa kuuza imani yako kwa sababu ya cheo cha mwanao. Jee mzee wetu alikuwa kila akipata fursa analamba viatu vya Magufuli, ili mwanae arahisishiwe kushonda Uraisi, kwa upendeleo na uwizi wa kura za ndani ya chama na za wananchi.

Kwa Dhulma hiyo Mzee Mwinyi na Mwanae hawastahili kuungqa MKONO.
 
Zanzibar haitabiriki- kamati ya fitna ikimaliza kazi ndio utajua. Na baada ya hapo wateule 5 wanapelekwa Dodoma na kule inategemea jamaa ameamka je. Kumbuka Salim Ahmedi Salim walimliza huko na hata Bilali anawajua.
 
Angalau msitaarabu mwingine ataendelea kuijenga Zenji! Sio hao alshababu!
 
Maalim Seif ana robo karne sasa toka ameanza kushiriki apumzike sasa mtammaliza sasa mzee wa watu
Mkuu mbona kama naona una wasiwasi na huyu mzee. Amekomaa kuiongoza Zanzibar tusubiri wananchi waseme
 
Mkuu unataka tupeperushe bendera nusu mlingoti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…