mashoodjr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2016 Posts 2,222 Reaction score 1,509 Feb 17, 2021 #21 YEHODAYA said: Sasa hivi kila kifo kinasingiziwa corona utafikiri kabla kuja corona watu walikuwa hawafi Click to expand... IQ yako ndogo sana, sishangai ndo majority ya watanzania.
YEHODAYA said: Sasa hivi kila kifo kinasingiziwa corona utafikiri kabla kuja corona watu walikuwa hawafi Click to expand... IQ yako ndogo sana, sishangai ndo majority ya watanzania.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Feb 17, 2021 #22 Pole kwa kufiwa mzee mwandosya, tahadhari muhimu.
L lulu za uru JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,557 Reaction score 3,221 Feb 18, 2021 #23 Duh
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Feb 18, 2021 #24 YEHODAYA said: cheti cha kifo ndivyo kinavyosomeka? kuwa kafa kwa corona? tuwekrwe ushahidi wa picha ya hicho cheti Click to expand... Sasa mkuu tukusikilize wewe mwanalumba au tumsikilize profesa mwenye akili zake kichwani na tena mfiwa?
YEHODAYA said: cheti cha kifo ndivyo kinavyosomeka? kuwa kafa kwa corona? tuwekrwe ushahidi wa picha ya hicho cheti Click to expand... Sasa mkuu tukusikilize wewe mwanalumba au tumsikilize profesa mwenye akili zake kichwani na tena mfiwa?