Ndagullachrles
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 153
- 161
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi amewataka wabunge kutofumbia macho vitendo vya ushoga na usagaji vinavyoendelea kushika kasi nchini na kushauri bunge kutunga sheria Kali kwa wanaojihusisha na vitendo hivyo ikiwamo adhabu ya kunyonywa.
Profesa Ndakidemi ametoa wito huo Bungeni mjini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara ya Maendeleo ya jamii,jinsia,wanawake na makundi maalum.
Amesema matendo maovu yanayoendelea ndani ya jamii hata mwenyezi mungu kwenye vitabu vitakatifu aliyakataa na waliofanya hivyo vitendo aliwapa adhabu na kuwaangamizi.
"Mheshimiwa mwenyekiti kuna mambo machafu yanajitokeza Sasa hivi ambayo hata mungu kwenye vitabu vitakatifu aliyakataa ya sodoma na gomola mungu aliyakataa na wwtu wote waliofanya huo uchafu wa kuwanajisi watoto mungu aliwapa adhabu na kuwaangamiza kabisa "
"Mheshimiwa mwenyekiti Sasa kama mungu alitoa adhabu hiyo na hapa nchini tunaona vitu vya ajabu ajabu vya sodoma.na gomola vinatendeka kwa watoto wetu sisi tunakaa kimya Mimi naona kuna kitu hakijakaa sawa mwenyekiti".
"Na nianze kwa kusema Wanyama kama Kuku,Bata,Ng'ombe na mbuzi hawana akili na hawafanyi huo uchafu,Sasa sisi mungu ametupa utashi na akili zetu ,mwanaume mzima unaenda unakuwa shoga,hapana,Mimi kama mzee kuyataja haya mambo inakuwa ngumu lakini lazima niyaseme kwamba haijakaa sawasawa".
Profesa Nakidemi ameonya kuwa kama hatua za haraka hazitachukuliwa kukabiliana na wimbo Hilo wabunge watabeba lawama kwa mwenyezi mungu kwa kushindwa kuchukua hatua.
"Mheshimiwa mwenyekiti tusipochukua hatua hii kitu imeshaanza kusambaa kwa watoto wetu ,sisi wabunge wenzangu tutakuja kulaumiwa na mungu kwamba nyie ndiyo tuliwapa nguvu ya kutunga sheria na serq za kulinda nchi hii mlifanya nini kuwalinda watoto na nchi kwa ujumla"
Aliwataka wabunge wasikubali laana hiyo kutoka kwa mwenyezi mungu kwamba wamehalalisha hayo mambo na kuiomba serikali kutunga sheria Kali kwa wanaojihusisha na vitendo hivyo ikiwamo adhabu ya kunyongwa na kutolea mfano wa nchi jirani ya Uganda.
"Kwa hiyo waheshimiwa wabunge,mwenyekiti tuombe tusikubali hii laana kutoka kwa mungu kwamba tumehalalisha haya mambo,serikali ituletee sheria ,mmeona kule Uganda ilivyokuwa,imeenda sheria pale ,haiangalii sijui nani anakupa nini".
"Kuna wanasiasa wengi wanasapoti haya mambo lakini siyo wa huku ndani,tusikubali kabisa sheria iletwe na serikali hapa kama ni kunyongwa watu wanyongwe wanaofanya huo ujinga"