Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini kupitia CCM.
====
Joyce Ndalichako alikuwa mhadiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 2000 hadi 2005, akifundisha kozi mbali mbali ikiwemo Educational measurement and evaluation, research methods, and Educational statistics.
Ndalichako alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania, NECTA kuanzia 2005 hadi 2014