Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Dola Moja Tu Ya Majukumu Yake Ni Kuhakikisha Hayo Uliyosema Yanatimia Haraka Sana.Huyu mama hawezi kupita, labda abebwe na dola tofauti nahapo anaangukia pua saa nne asubuhi.
Hapo Sasa Hivi Ugali Kidogo Mboga NyingiHatari siasa tamu sana
Kigoma mjini amechungulia ameona kina ni kirefu amekimbia.
Watu wa kigoma mjini hawajalibiwi.