Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

Mazingira ya uwekezaji si yameboreshwa kwa mujibu wa "ball boys".

Hivyo vyeti na vibali vingepatikana kwa njia ya mtandao ingekuwa rahisi tu.
 
Ubelgiji ndio wanunuzi wakuu wa cocoa ya Tanzania, kabla ya kufanya maamuzi muwe mnafikiria, watakaoumia ni wakulima wa wa kawaida, watadanganywa kuwa bei ya soko la dunia imeshuka, huku wanajua ni malipo ya kuua vifaranga
 
Wange wapiga faini tu serikali ipate pesa kuliko kwenda kuomba omba kwa Wazungu
 
Mbwa mamako aliyesahau kumkumbusha babako kuvaa condom ukazaliwa dubwasha km wewe.
Ni Mjinga yupi anaweza kuungiza vifaranga 62 thousands tena kupitia Airport bila kubali? Unajiona umefika kuongea ujinga Kwa uzembe wa wachache wanaokula mishahara Kwa Kodi za masikini? Unahisi Kila mtu anafurahi? Diplomsia ya uchumi kati yetu na Belgium itakuwa vipi baada ya tukio hili? Unajua Belgium ndiyo hub ya European union halafu unaleta mzaha na mstakabali wetu? Acha upumbavu wewe kima.
 
Kima babako. Huna tofauti na huyo zuzu aliyeingiza hao vifaranga. Nyie wote maxima ndio maana hamjui sheria na taratibu za nchi. Nendeni mkaishi na kima wenzenu porini
 
Kima babako. Huna tofauti na huyo zuzu aliyeingiza hao vifaranga. Nyie wote maxima ndio maana hamjui sheria na taratibu za nchi. Nendeni mkaishi na kima wenzenu porini
Kwa taarifa yako jamaa atapata compassion ya hasara Kwa kutumia Kodi yako wewe masikini.
 
 
Duh !!
 
Mh!!!
 
Hapana, wizara Kwa njia rahisi ilitakiwa ithibitishe Kwa vipima hivyo vifaranga, zoezi la siku Moja , huo ni uzembe wa watumishi wa serikali, hovyo kabisa, hata huyo Mkurungenzi akili zake ni kama layman, kaenda airport bila watalaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…