TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

Kwa hiyo wew ndiye uliyefundisha madaktari (radiologist ) jinsi ya kutumia radiological equipment? Unafikiri matumizi ya vifaa tiba hivyo hufundishwa na politician au mkulima kama wewe?
Ata kukisia kiasi cha chuvi kwenye chakula inahitaji akili pia! Lakini akili hiyo haimanishi kuwa anayeiweka chuvi kwenye chakula anaweza tengeneza iyo chuvi!
Udereva nao ni marifa lakini mwalimu wa driving school hawezi unda gari
 
Yaani hawa watu ni useless kabisa.

Wanakwambia nuclear physics inatengeneza themometer! (sijui hata kama ni kweli?)

Ukiwauliza hiyo themometer inatengenezwa wapi wanakimbia!

Nuclear physics sio blah blah za theories.

We need people who have the ability to do scientific practical researches and come up with valid tangible proposals..... Invent technology and help the people.

Blah blah...... mara ohh nina GPA kubwa ya nuclear physics! So what!

Wakati wa corona hawa wanasayansi uchwara wote walikimbia wakajificha uvunguni wakamwachia zigo lote magufuli.

Angalau magufuli alikuwa anatupa tips za kupasua virus kwa nyungu!

Sasa hawa wazee wa nuclear physics inakuwaje?
Nina jiulizaga maswali mengi mengi sana kuhusu wataalamu wetu wa kilimo na ufugaji dah achana na nuclear mbali sana hko tuwachie China na wengi!!!
China Just Switched on Its 'Artificial Sun' Nuclear ... 🙆🙆🙆🙆
 
Lakini wanachosema ni kweli.

Maana watu walishaanza kutupiga fix humu, ati ooh nyuklia sio mabomu tu!

Fine, mtueleze basi alichofanya marehemu. Something practical or tangible.

Tupeni wasifu wake na umaridadi wake wa kitaaluma katika kulisaidia taifa kwenye mambo halisi yanayoonekana.

Humu zinakuja hadithi za GPA, mara sijui revolution square!

Nasikia marehemu ana GPA kubwa tangu Tanganyika ipate uhuru!
Ingia kwenye www.researchgate.net utamkuta.
 
Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.

Nakuonaga mwnye akili za kutosha ila apa umeongea upuuzi kiwango cha lami
 
Kwa nini?
Sio kweli unavyosema. Nuclear physics bado ni muhimu hapa TANZANIA. UNGEULIZA UAMBIWE. UNAJUA KWA NINI MBUN,GO (TSE TSE FLIES) WOTE ZANZIBAR WALIISHA?, AU UNAJUA JINSI YA UZALISHAJI WA mpunga ULIVYOINGEZEKA NCHINI. ULIZA MKUU SIO NUCKEAR WEWE UNAWAZA BOMU
 
Tatizo ukisikia nuclear physics unawaza mabomu tu. Nuclear physics ni dhana pana sana. Kwenye kilimo, tiba, nishati mpaka kwenye hayo mabomu.
Acha uzuzu kama unaelewa elezea nini haswa au uzandiki na umuch know mwingi... Waliosoma wengi hawajaelimika na most of them hawana msaada wowote kwa Jamiii wanajivunia ni kumshambulia mtu tu but katika life hawana la kujivunia kufaidisha jamii inayomzunguka na akiwa na pesa basi ni misifa tu... Tizama huyu ndio wale wale... Kwa Mtu hata asiyesoma ukimuambia Neuclear Physics... unataka aelewe kuwa huyo ni aina furani ya Kilimo?
 
Acha uzuzu kama unaelewa elezea nini haswa au uzandiki na umuch know mwingi... Waliosoma wengi hawajaelimika na most of them hawana msaada wowote kwa Jamiii wanajivunia ni kumshambulia mtu tu but katika life hawana la kujivunia kufaidisha jamii inayomzunguka na akiwa na pesa basi ni misifa tu... Tizama huyu ndio wale wale... Kwa Mtu hata asiyesoma ukimuambia Neuclear Physics... unataka aelewe kuwa huyo ni aina furani ya Kilimo?
Acha nikubaliene nanyi kuwa nuclear physics haina maana na wataalamu wetu ni vilazaa OK! .
Nyinyi fani zenu zenye maana mmechangia mini ktk jamii?:
Tutajieni hizo tangible mnazopigia uchapu, ni zipi hizo mmefanya enye wenye elimu iliotukuka, au mnaongea tu kama mahoka amjui msemalo wala hamna ushahidi nalo.
 
Kwa hio kuna imported scientist anaeshughulikua hizo imported tech au nyie manguli wa lugha mnasoma menu kisha mnaanza kuwapima watu kwa hizo technologies.
Siku hizi technology imekuwa very advanced hauhitaji PhD kutafsiri hizo mambo, si mnaona college dropout ndio waongoza kwa innovation duniani
 
Siku hizi technology imekuwa very advanced hauhitaji PhD kutafsiri hizo mambo, si mnaona college dropout ndio waongoza kwa innovation duniani
Tunaongelea Tanzania au dunianiani ? Hao college dropout hawakusoma wanacho innovate.?
Kwa hui pale Ocean Road kuna drop out na lasaba ndio wanatafsiri teknolojia za mionzi.
 
Back
Top Bottom