TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

Kwa hiyo wew ndiye uliyefundisha madaktari (radiologist ) jinsi ya kutumia radiological equipment? Unafikiri matumizi ya vifaa tiba hivyo hufundishwa na politician au mkulima kama wewe?
Ata kukisia kiasi cha chuvi kwenye chakula inahitaji akili pia! Lakini akili hiyo haimanishi kuwa anayeiweka chuvi kwenye chakula anaweza tengeneza iyo chuvi!
Udereva nao ni marifa lakini mwalimu wa driving school hawezi unda gari
 
Nina jiulizaga maswali mengi mengi sana kuhusu wataalamu wetu wa kilimo na ufugaji dah achana na nuclear mbali sana hko tuwachie China na wengi!!!
China Just Switched on Its 'Artificial Sun' Nuclear ... 🙆🙆🙆🙆
 
Ingia kwenye www.researchgate.net utamkuta.
 
Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.

Nakuonaga mwnye akili za kutosha ila apa umeongea upuuzi kiwango cha lami
 
Kwa nini?
 
Tatizo ukisikia nuclear physics unawaza mabomu tu. Nuclear physics ni dhana pana sana. Kwenye kilimo, tiba, nishati mpaka kwenye hayo mabomu.
Acha uzuzu kama unaelewa elezea nini haswa au uzandiki na umuch know mwingi... Waliosoma wengi hawajaelimika na most of them hawana msaada wowote kwa Jamiii wanajivunia ni kumshambulia mtu tu but katika life hawana la kujivunia kufaidisha jamii inayomzunguka na akiwa na pesa basi ni misifa tu... Tizama huyu ndio wale wale... Kwa Mtu hata asiyesoma ukimuambia Neuclear Physics... unataka aelewe kuwa huyo ni aina furani ya Kilimo?
 
Acha nikubaliene nanyi kuwa nuclear physics haina maana na wataalamu wetu ni vilazaa OK! .
Nyinyi fani zenu zenye maana mmechangia mini ktk jamii?:
Tutajieni hizo tangible mnazopigia uchapu, ni zipi hizo mmefanya enye wenye elimu iliotukuka, au mnaongea tu kama mahoka amjui msemalo wala hamna ushahidi nalo.
 
Kwa hio kuna imported scientist anaeshughulikua hizo imported tech au nyie manguli wa lugha mnasoma menu kisha mnaanza kuwapima watu kwa hizo technologies.
Siku hizi technology imekuwa very advanced hauhitaji PhD kutafsiri hizo mambo, si mnaona college dropout ndio waongoza kwa innovation duniani
 
Siku hizi technology imekuwa very advanced hauhitaji PhD kutafsiri hizo mambo, si mnaona college dropout ndio waongoza kwa innovation duniani
Tunaongelea Tanzania au dunianiani ? Hao college dropout hawakusoma wanacho innovate.?
Kwa hui pale Ocean Road kuna drop out na lasaba ndio wanatafsiri teknolojia za mionzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…