TANZIA Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa na wote walioguswa na msiba huu, akiwemo Maria Sarungi

NIliwahi kusikia kuwa Prof. Sarungi ni Mtanzania wa kwanza kupata DIV. 1 ya Point 3 Kwa Combination ya PCB
Pascal Mayalla ni kweli hili?
Unataka kutuambia kwenye mtihani wa Kembriji, kombinesheni hizo enzi hizo zilikuwepo?
 
Apumzike kwa amani.
Nakumbuka aliwahi kuja shuleni kwetu kijijini sana mwaka wa 2000
Akiwa waziri.
Alikua kiongozi wa kwanza wa kitaifa kufika kwenye kata na tarafa yetu na kwa kipekee shuoe yetu

Alituchangia fedha na ujenzi wa madarasa, tukaanzisha mradi wa nguruwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…