Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Siku ukasikia Ridhiwan kamtelekeza Mzee Kikwete itakuingia Akilini!?Huyo Maria si inasemekana alimteleeza Baba yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukasikia Ridhiwan kamtelekeza Mzee Kikwete itakuingia Akilini!?Huyo Maria si inasemekana alimteleeza Baba yake?
Apumzike kwa amani.View attachment 3260406
Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani Profesa Sarungi amefariki dunia
Habari hii imethibitishwa pia na mwanaye Maria sarungi pamoja na msemaji wa familia, Martin Leonard Obwago Sarungi.
View attachment 3260404
Amejaza kaunta book nne za taarifa za uhalifu a. k. a- RB, a. k. a. rice and beansKwann asifike ?
Kwani amekimbia?Hili swali ni kitendawili kama sio kitendaguro. Mahasimu wanamlia rada tuView attachment 3260440
Kuna story nliiskia sehem hata mzee kawatelekeza pia watot wake pamoja na ndugu...ila apumzike kwa amanHuyo Maria si inasemekana alimteleeza Baba yake?
Hayo yanakuhusu wewe na familia yenu, sisi umbea hautuhusu.Huyo Maria si inasemekana alimteleeza Baba yake?
Sasa hivi anatembeaKwani amekimbia?
Inawezekana Mzee Sarungi kafa mapema kutokana na matusi ya mwanae, takataka kabisa yule dadaUnadhani ni era ya Jpm?
Unaweweseka ukiwa wapi?Inawezekana Mzee Sarungi kafa mapema kutokana na matusi ya mwanae, takataka kabisa yule dada
Unataka kutuambia kwenye mtihani wa Kembriji, kombinesheni hizo enzi hizo zilikuwepo?Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa na wote walioguswa na msiba huu, akiwemo Maria Sarungi
NIliwahi kusikia kuwa Prof. Sarungi ni Mtanzania wa kwanza kupata DIV. 1 ya Point 3 Kwa Combination ya PCB
Pascal Mayalla ni kweli hili?
Miaka 90-1 ni mapema?Inawezekana Mzee Sarungi kafa mapema kutokana na matusi ya mwanae, takataka kabisa yule dada
Mariah anasemaje atakuja.....Huyo Maria si inasemekana alimteleeza Baba yake?
Usiseme daima milele mkuuRip professor Sarungi , tutakukumbuka daima milele😭😭