TANZIA Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

Pole Kwa familia
 
He did a good job, pumzika kwa amani Prof Sarungi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa mujibu wa wasifu wake rasmi mwendazake hakuwa daktari bingwa wa mifupa Bali alikuwa daktari bingwa wa upasuaji (surgery) na siyo.

Kozi ya mifupa alisoma na kuhitimu ngazi ya stashahda


Naomba kuwasilisha


Education​

In 1966, M. Sarungi received a degree of Doctor of Medicine from the University of Medicine, Szeged, Hungary. In 1970, he graduated from the University of Medicine with a Master of Arts degree in Surgery, Szeged, Hungary. M. Sarungi received a Diploma in orthopaedics/trauma from the University of Medicine, Vienna, 1973. Also in 1975 he graduated from the University of Shanghai with a diploma in replantation surgery
 
poleni sana wanafamilia. Mungu wa rehema, tunaomba aipumzishe mahali pema ya Prof. Sarungi. Mchango wake kwa namna mbalimbalu, na hasa alipokuwa pale Muhimbili, hauwezi kusahaulika.

pole sana Maria, na wanafamilia wote.
Hivi si ndio yeye alituletea habari za Physics with chemistry? Japo kwa akili yako sijui kama umeelewa jambo hili maana nahisi ulikimbia umande na kubakia na umbumbumbu wako.
 
Prof. Sarusngi alisoma kwa Mtaala wa Cambridge? Au unamaanisha Middle school?
Middle school haukua mtaala, mtihani wa mwisho toka Kembriji Uingereza ulikuwa 1969 kama sijakosea. Mtihani huo ulitungwa Uingereza ulifanywa kwenye shule zote duniani chini ya Jumuia ya Madola na ulisahihishwa Uingereza na matokeo yalitoka Uingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…