ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
At 89 kafa mapema? Idiot kabisa!Kichwani una urojo wa samadi ya nguruwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At 89 kafa mapema? Idiot kabisa!Kichwani una urojo wa samadi ya nguruwe
Kijana wa Ikulu kwani mie Andrew?Sawa kijana wa ikulu
Labda miaka hii ya karibuni. Maana birthday ya Prof Sarungi ya umri wa miaka 85 Maria alipost yupo na Prof wanakata keki pamoja.Baba amelamba sana asali anatelekezwaje na mtoto wake
Umejuaje ? Basi utakuwa ulikuwa kimada cha pembeni cha Prof.Inawezekana Mzee Sarungi kafa mapema kutokana na matusi ya mwanae, takataka kabisa yule dada
Pole Kwa familiaView attachment 3260406
Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani Profesa Sarungi amefariki dunia
Habari hii imethibitishwa pia na mwanaye Maria sarungi pamoja na msemaji wa familia, Martin Leonard Obwago Sarungi.
Prof. Philemon Sarungi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89.
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Rorya mkoani Mara. Kuanzia mwaka 1990 hadi 1992, M. Sarungi alihudumu kama Waziri wa Afya wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baadaye, alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi kati ya 1992 na 1993. Tangu mwaka 1993, amekuwa Waziri wa Elimu na Utamaduni.
Mwaka 1966, M. Sarungi alipata shahada ya Udaktari wa Tiba (Doctor of Medicine) kutoka Chuo Kikuu cha Tiba cha Szeged, Hungary. Mwaka 1970, alihitimu kutoka chuo hicho hicho na kupata Shahada ya Uzamili katika Upasuaji (Master of Arts in Surgery). M. Sarungi pia alipata Diploma ya Orthopaedics/Trauma kutoka Chuo Kikuu cha Tiba cha Vienna mwaka 1973. Aidha, mwaka 1975 alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Shanghai na kupata diploma katika upasuaji wa kupandikiza viungo (Replantation Surgery).
Kuanzia mwaka 1971 hadi 1973, Mikol alifanya kazi kama Mhadhiri wa upasuaji katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania. Kuanzia 1973 hadi 1976, alikuwa Mhadhiri Mwandamizi katika chuo hicho. Pia, M. Sarungi alikuwa Profesa Mshiriki katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kati ya 1977 na 1979, na baadaye akawa Profesa kuanzia 1979. Aliongoza Idara ya Upasuaji katika chuo hicho kati ya 1977 na 1984.
Kuanzia 1984 hadi 1990, M. Sarungi alihudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Matibabu cha Muhimbili na pia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Aidha, alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu hicho kati ya 1989 na 1991.
He did a good job, pumzika kwa amani Prof SarungiView attachment 3260406

Kwa hiyo wanaokufa huko CHADEMA kama vile Prof Baregu walikuwa wameiba nini mpaka wakafa? Yaani wewe una akili za kitoto sana na uliyejaa ujinga jinga tu . Unaropoka Hovyo hovyo utafikiri umekunywa gongo ukiwa na njaa tumboni.Hawa wazee hawakuibia Nchi, ndio maana Mungu amewapa muda mretu
Hivi si ndio yeye alituletea habari za Physics with chemistry? Japo kwa akili yako sijui kama umeelewa jambo hili maana nahisi ulikimbia umande na kubakia na umbumbumbu wako.poleni sana wanafamilia. Mungu wa rehema, tunaomba aipumzishe mahali pema ya Prof. Sarungi. Mchango wake kwa namna mbalimbalu, na hasa alipokuwa pale Muhimbili, hauwezi kusahaulika.
pole sana Maria, na wanafamilia wote.
Sasa unalia nini?Kwa hiyo wanaokufa huko CHADEMA kama vile Prof Baregu walikuwa wameiba nini mpaka wakafa? Yaani wewe una akili za kitoto sana na uliyejaa ujinga jinga tu . Unaropoka Hovyo hovyo utafikiri umekunywa gongo ukiwa na njaa tumboni.
Wassira ndio rika yake Huyu marehemu ; bila shaka ameficha miaka yake!!born 1936 mzee kala sana chumvi
Middle school haukua mtaala, mtihani wa mwisho toka Kembriji Uingereza ulikuwa 1969 kama sijakosea. Mtihani huo ulitungwa Uingereza ulifanywa kwenye shule zote duniani chini ya Jumuia ya Madola na ulisahihishwa Uingereza na matokeo yalitoka Uingereza.Prof. Sarusngi alisoma kwa Mtaala wa Cambridge? Au unamaanisha Middle school?
😆😆😆Umejuaje ? Basi utakuwa ulikuwa kimada cha pembeni cha Prof.