implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Rip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
91Wassira ndio rika yake Huyu marehemu ; bila shaka ameficha miaka yake!!
Utawaweza wabongo wewe? Juzi wakati wa uchaguzi wa ndani wa Chadema walidai Heche hana mke, Heche alikaa zake kimya utadhani hasomi yanayo andikwa, jamaa anarudi zake kwao, mapokezi makubwa mara paap mrembo wake na wanae hawa hapa, wale waliosema hana mke waka mute, hao hao wakamgeukia Lissu, or Lissu mchepukaji, yaani wanaume kabisa eti wanadai Lissu mchepukaji! Pumbafu kabisa, over 90% ya wanaume wakiwepo hao watoa shutuma wana chepuka, tena wengine wana watoto wengi tu kuliko wale wa ndoa but wana pretend hawafanyi hivo. Watu wanafiki sana. RIP profesa Sarungi, Mzee ambaye udaktari ulimkaa moyoni na akili mwake, nalikumbuka sana tukio la yule mama aliyenusurika kuliwa na mamba halafu Sarungi akiwa RC wa mkoa wa pwani, alivaa joho la udaktari na kushiriki kumfanyia operation yule mama pale Tumbi hospital. Watu wa maana wanazidi kuondoka nchini kwetu, poleni wafiwaHuyo Maria si inasemekana alimteleeza Baba yake?
Aliwahi pia, kuwa Waziri wa Ulinzi?Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa na wote walioguswa na msiba huu, akiwemo Maria Sarungi
NIliwahi kusikia kuwa Prof. Sarungi ni Mtanzania wa kwanza kupata DIV. 1 ya Point 3 Kwa Combination ya PCB
Pascal Mayalla ni kweli hili?
Maria hatakuja kumzila Baba yake......kamweeeeDPP atakuwa mpakani, Sirari akitega kware wake atokee Nairobi
Achana na hii hoja kwa Sasa mkuu. Tumuombee apumzike kwa amani...mbele yake nyumba yetu.Huyo Maria si inasemekana alimteleeza Baba yake?
Ndiyo. RIP prof. Sarungi.Aliwahi pia, kuwa Waziri wa Ulinzi?
Hili swali ni kitendawili kama sio kitendaguro. Mahasimu wanamlia rada tuView attachment 3260440