Kaaah hilo tumbo aisee!! Ifike mahali tubadilike!!Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Ndiyo umeandika nini sasa hapa! Nenda chuo kikuu kimoja tu cha Dar es salaam ukapewe orodha yao kamili, halafu urudi utoe mrejesho.Hee kumbe Kuna msambaa ni professor
Au
Mkunda du munigegee nuksi
Niize mimitoe mateke
AISEEE!Wale wale angalia tu kitambi
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Wapumbavu humchagua mpumbavu mwenzao. Hawa maprofesa wakati mwingine hujiapgusha wenyewe. Maelezo yao huwa hayaoani na hadhira . Mifano anatoa ya Ulaya, anatumia sentensi za kizungu nyingi, n.kHalafu utashangaa darasa la saba B mmoja wa CCM anapata kura 556 na huyo Professa anaambulia kura 12.
CCM ina yenyewe.
Duh jamani huko kwenye ubunge Kuna nn? Kina musukuma wanatudanganya hakuna Hela🤣🤣🤣Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Afanye mazoezi kuondoa kiriba tumbo.Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Kila awamu yeye yumooo tu kuna Nosnia huko Ushoto....acha waparuraneAliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Yaani huyu ndiyo anataka kugombea kuwa fuska (mbunge), amevutiwa na changudoa gani (mbunge wa kuteuliwa) ili akamle?Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Wabunge wa kuteuliwa hawapendi watu wasio na vitambi.Duh apige tizi apunguze mtambi 😄 mgosi
Ova
Tangu atolewe chuo kikuu na kuingia kwenye uongozi na huyo JPM, hajawahi kutumbuliwa. Ameshawihi kuwa DED Mufindi, akaenda kuwa RAS Ruvuma, akaingia kwenye nafasi ya ukatibu mkuu Tamisemi, Wizara ya mifugo, nk...huyu ndio Jpm alimtukana na kumtumbua?