Ni profesa wa nini?Tangu atolewe chuo kikuu na kuingia kwenye uongozi na huyo JPM, hajawahi kutumbuliwa. Ameshawihi kuwa DED Mufindi, akaenda kuwa RAS Ruvuma, akaingia kwenye nafasi ya ukatibu mkuu Tamisemi, Wizara ya mifugo, nk.
CCM Ina vituko na ni chama cha wajinga Duniani!Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Profesa Shemdoe hanaga msaada !Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Alikuwa chuo kikuu cha Ardhi (ARU) kama sijakosea! Na kwa hili utakuwa umepata mwanga kidogo. Huyo jamaa siyo kilaza hata kidogo.Ni profesa wa nini?
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu utashangaa darasa la saba B mmoja wa CCM anapata kura 556 na huyo Professa anaambulia kura 12.
CCM ina yenyewe.
Profesa aache ubahili. Wajumbe wana bills za kulipaHalafu utashangaa darasa la saba B mmoja wa CCM anapata kura 556 na huyo Professa anaambulia kura 12.
CCM ina yenyewe.
Nenda vyuoni ukaone ,wasambaa hatuna kik za kishamba za kutembelea majina ya ukoo...Ukionionesha aliyesoma kwenu mpaka kugundua kitu ,nakuonesha sisi wasambaa vitu mia tulivyogundua.Hee kumbe Kuna msambaa ni professor
Au
Mkunda du munigegee nuksi
Niize mimitoe mateke
Achana nao hao ,wanataka kujua ili iweje ? Dharau tu wajinga hao ,temana nao!Alikuwa chuo kikuu cha Ardhi (ARU) kama sijakosea! Na kwa hili utakuwa umepata mwanga kidogo. Huyo jamaa siyo kilaza hata kidogo.