GE2025 Profesa Shemdoe aomba ridhaa ubunge Jimbo la Lushoto

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tangu atolewe chuo kikuu na kuingia kwenye uongozi na huyo JPM, hajawahi kutumbuliwa. Ameshawihi kuwa DED Mufindi, akaenda kuwa RAS Ruvuma, akaingia kwenye nafasi ya ukatibu mkuu Tamisemi, Wizara ya mifugo, nk.
Ni profesa wa nini?

Ova
 
CCM Ina vituko na ni chama cha wajinga Duniani!


Hapo Profesa Shemdoe , anakabidhiwa fomu na Mtumishi wa CCM ambaye alipata Division ziro ,Makumira secondary 😳
 
Hivi mwanaume mzima rijali unaruhusi vipi mwili wako uwe na huo muonekano


Inashangza sana
 
Profesa Shemdoe hanaga msaada !
Wananchi wa Lushoto msijichanganye,akishapaga cheo Huwa ana tabia ya kujisahau!
 
Hee kumbe Kuna msambaa ni professor
Au
Mkunda du munigegee nuksi
Niize mimitoe mateke
Nenda vyuoni ukaone ,wasambaa hatuna kik za kishamba za kutembelea majina ya ukoo...Ukionionesha aliyesoma kwenu mpaka kugundua kitu ,nakuonesha sisi wasambaa vitu mia tulivyogundua.
 
Alikuwa chuo kikuu cha Ardhi (ARU) kama sijakosea! Na kwa hili utakuwa umepata mwanga kidogo. Huyo jamaa siyo kilaza hata kidogo.
Achana nao hao ,wanataka kujua ili iweje ? Dharau tu wajinga hao ,temana nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…