Profesa Tibaijuka: Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ila limeshindwa kuregulate mafuriko!

World Wildlife Fund
https://files.worldwildlife.org β€Ί ...PDF
THE FACTS AND RISKS OF BUILDING STIEGLER'S GORGE HYDROPOWER ...
 
Hapo amehamisha hoja kutoka mfuko wa kushoto kuja mfuko wa kulia. Kwa lugha rahisi Professor amesema ujenzi wa bwawa la umeme ndio kichocheo cha mafuriko. Bila bwawa huenda mafuriko yasingekuwepo ama ujenzi wa bwawa ulipaswa kuzuia mafuriko kutokea.
 
1. amejichnganya
2. Siyo expert wa mabwawa engineering.....
 
Soma vizuri heading. Mwisho kuna alama ya kushangaa. (!) usipokuwa mwangalifu, utafikiri kuna contradiction
 
Hii ni kazi ya Hydrologist ambayo is part of Feasibility Study Report iliyopuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…