World Wildlife FundWaziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko Limeshindwa
Tibaijuka amesema Tudai kujua kwanini na kurekebisha tukitambua Hasara ya kutekeleza miradi mikubwa bila kuzingatia Utaalamu Madhubuti
Mlale Unono 😂😂🔥
https://files.worldwildlife.org › ...PDF
THE FACTS AND RISKS OF BUILDING STIEGLER'S GORGE HYDROPOWER ...