Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Dunia tunayoishi ina mambo Kweli Kweli

Vijana badala ya kusikitika Wao ndio kwanza wanampongeza Rais Trump Kwa kuzuia dawa za kufubaza virus Vya ukimwi zisiletwe Kwa msaada

Nimeshangaa sana 🐼
Tuache uvivu na wizi tufanyeee kaazii
 
Daa, kama ni kweli basi Kuna baadhi ya Jf members hawataumaliza huu mwaka 2025
 
Dunia tunayoishi ina mambo Kweli Kweli

Vijana badala ya kusikitika Wao ndio kwanza wanampongeza Rais Trump Kwa kuzuia dawa za kufubaza virus Vya ukimwi zisiletwe Kwa msaada

Nimeshangaa sana 🐼
saivi watu wanachekacheka kama masihara flani ivi ila nkuhakikishie vilio vitakuja soon. mambo yatakuwa wazi muda uo.

maajaabu yatakuwa mengi sana. kuna watakaoshangaa kumbe hata wazazi wao au ndugu zao wa karibu kabisa kumbe nao wamo.

tatizo humu wengi wamezaliwa wakati dawa tayari zipo hawaijui ile JULIANA na mambo yake. ngoja tufike apo kwenye msururu wa matangazo ya tanzia yasiyoisha kila leo.
 
Aisee
 
Bajeti ya African Union huenda inachangiwa na hao hao watoa ARVs
 
Je Yeye Trump Na America Yake Wataacha Kuzinyonya Nchi Za Africa?Mi Nachojua Hiyo Misaafa Ni Sawa Na Kumchimbia Mtu Msingi Au Shimo Alafu Mshahara Ni Kukupa Chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…