ππ pamoja na zidovudine bila kusahau nevirapineWanasiasa matumbo wataacha kuiba hela wataiba ARV unamkuta Mh Jedi Dodi kakutwa na pipa la lamivudine
Mkuu wenzetu Msumbiji, SA na Zimbabwe wanatengeneza ila sisi tuko bize na mengineNi sahihi kabisa.
Tuna dawa za miti shamba za kutosha, mapori ya kutosha bila kuwasahau Botanists wetu, wapo wa kutosha.
Inabidi sasa waanze kufanya trials mdogo mdogo kwa haya magonjwa nyemelezi kabla ya kukiangamiza kirusi.
Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu π πKwake pale alikuwa anajaza machupa ya maji anadai yanabaraka ya kuponya ngoma.
Clinic yake ilikuwa na wagonjwa sio chini ya 200 kila siku.
Alivuna sana ustaadhi yule.
Inatubidi tuamke kwakweli. Watoa misaada wametugwaya.Mkuu wenzetu Msumbiji, SA na Zimbabwe wanatengeneza ila sisi tuko bize na mengine
ππKupima ndo jau
Muda wa kutafuta mashamba mkalime sasaWengine tumeajiriwa kwenye hayo mashirika yanayohisiana na HIV, njaa ndiyo itatuuwa!π
Kumbe water read ni US, na kwani wanahusika na afya, huwa naona wanazurura na magari tuAcha kuwa na akili fupi kuna taasisi kibao wameajiri watz zipo bongo. Marekani aki pull out watu wanakosa ajija kuna water read nk
Kiama gan wakati asilimia kubwa ya hela ya misaada inaishia mifukoni mwa viongozi. Nashangaa kuendelea kutupa misaada huku wakijua hela zao zinaliwa. Na mataifa mengine makubwa yafuate mfano wa Trump.
Serikali ipi unayozungumzia? Ile inayoamuru wajawazito wasusiwe kisa hawana pesa ya kujifungulia laki moja na nusu au madokta wasiachie maiti bila gharama kulipwa au ni tofauti na ile?Serikali haiwezi kuacha watu wajifie lazima itaangalia alternative maana hata wao viongozi wakubwa wana ukimwi
Viongozi wengi wana ukimwi ngoja nikutajie na majinaSerikali ipi unayozungumzia? Ile inayoamuru wajawazito wasusiwe kisa hawana pesa ya kujifungulia laki moja na nusu au madokta wasiachie maiti bila gharama kulipwa au ni tofauti na ile?
List of shameViongozi wengi wana ukimwi ngoja nikutajie na majina
Kweli kabisa kusimamisha misaada yote ni kuua watu masikini kwa makusudi wakati wao wakiendelea kutunyonya kwa mikataba ya ajabu waloingia na viongozi wetuAngestopisha misada inayohusisha cash abaki na ya non cash
MDH watalia
Vipi kuhusu viwanja vya kuzikia?nyumba nyingi zitabaki bila watu,, kwaio kuokota nyumba itakua ni kawaida
πukute mtu kapima anao alafu ndo anaona hbr hii ya trump & tibaijuka!!
Inaumaje ππ
Una pesa ya ARVs?Safi sana bwana trump....wacha waafrica watie akili. Huyu jamaa tumpe africa atuongoze. Akili mingi sana.