A ACO New Member Joined Dec 3, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Jan 24, 2013 #1 Nibaada ya dent kubanwa na msimamiizi kwa mda mrefu akimchunguza ktk chumba cha pepa na kuamua kujamba ili apate nafas ya kuchomoa nondo. huo ndo uvumbuzi wa madent wa kibongo .
Nibaada ya dent kubanwa na msimamiizi kwa mda mrefu akimchunguza ktk chumba cha pepa na kuamua kujamba ili apate nafas ya kuchomoa nondo. huo ndo uvumbuzi wa madent wa kibongo .
RWEYONGEZA MUTTA Member Joined Oct 12, 2012 Posts 52 Reaction score 10 Jan 27, 2013 #2 WanaSAUT wajifunze hapa make masomo kibao hatuwezi kuyahandle yote km secondary o-level hatuna jinc kwa wale wala chabo haaahaah just jokes
WanaSAUT wajifunze hapa make masomo kibao hatuwezi kuyahandle yote km secondary o-level hatuna jinc kwa wale wala chabo haaahaah just jokes