Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.
Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.
Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.
Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.
Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.
Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.
Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.
Achaneni na kesi shauri yenu.