PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
Wakuu naomba kwa yeyote aliyewahi kutumia professional antivirus software na free antivirus software (mfano avast) kwa nyakati tofauti, je kuna utofauti mkubwa sana kati ya hizo mbili kwenye kuprotect computer kwa matumizi ya mtu binafsi ? Pia naomba mnitajie the best antivirus software kwa sasa kwa mujibu wa uzoefu wenu, thanx.