Professional Okwi awasili Dar Es Salaam

Wapigaji haooo.... Yaani Simba ni tatizo... Wajanja yao 40% wanachama woyooooo..... Teeteeeh
 
Yawezakuwa okwi ana 30.....lakini si mzee kama Bossue na Kamusoko. Tutaona uwanjani tusimhukumu kwa umri wake.
 
Ukiona mchezaji kashindwa kucheza ulaya amekwisha kama Boban alivyorudi ndezi
 
Kila nikimuona OKWi magoli basi nakumbuka mechi ya 5-0 taifa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…