OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Emanuel Anold Okwi awasili jijini Dar es Salaam jana usiku tayari kwa kusaini mkataba kuitumikia klabu ya Simba msimu ujao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuja Simba 2009 akiwa n'a miaka 18Okwi ana umri gani? Si ni mkubwa kuliko Roger Miller? Maana Okwi nimeanza kumsikia tangu nikiwa mtoto
Wivu wa kikeHajui kitu huyo
Ana umri sawa na mkeoOkwi ana umri gani? Si ni mkubwa kuliko Roger Miller? Maana Okwi nimeanza kumsikia tangu nikiwa mtoto
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Wivu wa kike
[emoji16]Ana umri sawa na mkeo
Mwenye bilioni 2 ulaya ni "wa kawaida" huko;Bongo n tajiri!Ukiona mchezaji kashindwa kucheza ulaya amekwisha kama Boban alivyorudi ndezi